Ufafanuzi msingi wa kinga katika Kiswahili

: kinga1kinga2kinga3kinga4

kinga1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  zuia madhara fulani yasifike kwa mtu au mahali.

  ‘Alinirushia ngumi lakini nikaikinga’
  tetea, bekua

Ufafanuzi msingi wa kinga katika Kiswahili

: kinga1kinga2kinga3kinga4

kinga2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tayarisha bindo, mkono au chombo ili kupokea kitu.

  ‘Kinga maji ya mvua’
  ‘Kinga ndoo’

Ufafanuzi msingi wa kinga katika Kiswahili

: kinga1kinga2kinga3kinga4

kinga3

nominoPlural vinga, Plural kinga

 • 1

  jambo au dawa ya kujiepusha na madhara.

  ‘Watu hupewa chanjo kama kinga ya surua’
  ngao

Ufafanuzi msingi wa kinga katika Kiswahili

: kinga1kinga2kinga3kinga4

kinga4 , kijinga

nominoPlural vinga, Plural kinga

 • 1

  kipande cha ukuni kinachowaka, chenye moto au kilichoungua.

  methali ‘Kinga na kinga ndipo moto uwakapo’

 • 2

Matamshi

kinga

/kinga/