Ufafanuzi wa kingamwili katika Kiswahili

kingamwili

nomino

  • 1

    uwezo wa mwili wa kujikinga dhidi ya maradhi.

Matamshi

kingamwili

/kingamwili/