Ufafanuzi wa Kingazija katika Kiswahili

Kingazija

nomino

  • 1

    lahaja mojawapo ya Kiswahili isemwayo katika kisiwa cha Ngazija.

Matamshi

Kingazija

/kingaziʄa/