Ufafanuzi wa Kingozi katika Kiswahili

Kingozi

nominoPlural Kingozi

kizamani
  • 1

    kizamani mojawapo ya lahaja za zamani za Kiswahili inayoaminika kusemwa maeneo ya Kaskazini ya Pwani ya Kenya.

Matamshi

Kingozi

/kingOzi/