Ufafanuzi wa kingugwa katika Kiswahili

kingugwa

nominoPlural vingugwa

  • 1

    mnyama anayefanana na fisi na ana madoadoa.

    kikuto, shundwa

Matamshi

kingugwa

/kingugwa/