Ufafanuzi wa Kingwana katika Kiswahili

Kingwana

nominoPlural Kingwana

  • 1

    lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa eneo la Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Matamshi

Kingwana

/kingwana/