Ufafanuzi msingi wa kinoo katika Kiswahili

: kinoo1kinoo2

kinoo1

nomino

  • 1

    jiwe linalotumiwa kutilia makali vitu k.v. kisu, panga, shoka au mkasi.

Matamshi

kinoo

/kinO:/

Ufafanuzi msingi wa kinoo katika Kiswahili

: kinoo1kinoo2

kinoo2

nomino

  • 1

    mkuo wa madini au sabuni.

    ‘Kinoo cha dhahabu’
    ‘Kinoo cha sabuni’

Matamshi

kinoo

/kinO:/