Ufafanuzi msingi wa kinu katika Kiswahili

: kinu1kinu2

kinu1

nominoPlural vinu

 • 1

  chombo cha mti kinachotumiwa kutwangia nafaka, kupondea au kusindikia mafuta.

  ‘Kinu cha mkono’
  ‘Kinu cha tambi’

 • 2

  chombo cha chuma kinachoponda au kusaga.

Matamshi

kinu

/kinu/

Ufafanuzi msingi wa kinu katika Kiswahili

: kinu1kinu2

kinu2

nominoPlural vinu

 • 1

  kikombe cha katikati ya gurudumu.

  kikombe

Matamshi

kinu

/kinu/