Ufafanuzi wa kinundu katika Kiswahili

kinundu

nominoPlural vinundu

  • 1

    uvimbe mgumu uliojitokeza juu ya mwili au ngozi ya binadamu au mnyama.

Matamshi

kinundu

/kinundu/