Ufafanuzi msingi wa kinyago katika Kiswahili

: kinyago1kinyago2kinyago3kinyago4kinyago5

kinyago1

nominoPlural vinyago

 • 1

  kivazi cha kutisha au kuchekesha katika ngoma.

 • 2

  kitu kilichochongwa na kufananishwa na kitu kingine k.v. mtu au mnyama.

Matamshi

kinyago

/ki3agO/

Ufafanuzi msingi wa kinyago katika Kiswahili

: kinyago1kinyago2kinyago3kinyago4kinyago5

kinyago2

nominoPlural vinyago

 • 1

  mtu anayefanya achekwe au adharauliwe kwa mavazi au vitendo.

Matamshi

kinyago

/ki3agO/

Ufafanuzi msingi wa kinyago katika Kiswahili

: kinyago1kinyago2kinyago3kinyago4kinyago5

kinyago3

nominoPlural vinyago

 • 1

  nyimbo maalumu za mafundisho zinazoimbwa katika unyago.

Matamshi

kinyago

/ki3agO/

Ufafanuzi msingi wa kinyago katika Kiswahili

: kinyago1kinyago2kinyago3kinyago4kinyago5

kinyago4

nominoPlural vinyago

 • 1

  vitendo vifanywavyo katika shughuli za unyago.

Matamshi

kinyago

/ki3agO/

Ufafanuzi msingi wa kinyago katika Kiswahili

: kinyago1kinyago2kinyago3kinyago4kinyago5

kinyago5

nominoPlural vinyago

 • 1

  mitihani wanayofanyiwa walioko unyagoni.

  mizungu

Matamshi

kinyago

/ki3agO/