Ufafanuzi wa kinyakuo katika Kiswahili

kinyakuo

nominoPlural vinyakuo

  • 1

    kifaa duara cha chuma kinachovaliwa kidoleni kupigia ala ya muziki k.v. gitaa, ganuni au zitha.

Matamshi

kinyakuo

/ki3akuwO/