Ufafanuzi wa kinyamkela katika Kiswahili

kinyamkela

nominoPlural vinyamkela

  • 1

    pepo mbaya anayeaminiwa kuwa anakaa katika mibuyu na miti mingine mikubwa.

Matamshi

kinyamkela

/ki3amkɛla/