Ufafanuzi msingi wa kinyume katika Kiswahili

: kinyume1kinyume2

kinyume1

nomino

 • 1

  jambo lenye kukinzana na jingine.

  ‘Furaha ni kinyume cha huzuni’

Matamshi

kinyume

/ki3umɛ/

Ufafanuzi msingi wa kinyume katika Kiswahili

: kinyume1kinyume2

kinyume2

nomino

  Matamshi

  kinyume

  /ki3umɛ/