Ufafanuzi wa kinyunya katika Kiswahili

kinyunya

nominoPlural vinyunya

  • 1

    unga, agh. wa ngano au mchele, unaokandwa ili kutengenezea maandazi.

    kitonge

Matamshi

kinyunya

/ki3u3a/