Ufafanuzi wa kinyweleo katika Kiswahili

kinyweleo

nomino

  • 1

    kijitundu kwenye ngozi, agh. ya mwili wa binadamu, ambamo malaika au unywele humea na jasho hutokea.

Matamshi

kinyweleo

/ki3wɛlɛwɔ/