Ufafanuzi wa kinza katika Kiswahili

kinza

kitenzi elekezi

  • 1

    zuia kitu kisikufikie au kisikugonge.

  • 2

    kataa au pinga jambo.

Matamshi

kinza

/kinza/