Ufafanuzi wa kioja katika Kiswahili

kioja, kiroja

nominoPlural vioja

  • 1

    tukio la kushangaza.

    kituko, ajabu, hekaya, shani, dungudungu, muujiza

Matamshi

kioja

/kiOʄa/