Ufafanuzi wa kiokosi katika Kiswahili

kiokosi

nominoPlural viokosi

  • 1

    zawadi inayotolewa na kupewa mtu aliyekipata kilichokuwa kinatafutwa baada ya kupotea.

    kiangazamacho, chorombozi, machomborozi

Matamshi

kiokosi

/kiOkOsi/