Ufafanuzi wa kiokote katika Kiswahili

kiokote

nominoPlural viokote

  • 1

    mtoto aliyefiwa na mzazi au wazazi wake wote.

    yatima

Matamshi

kiokote

/kiOkOtɛ/