Ufafanuzi wa kionjamchuzi katika Kiswahili

kionjamchuzi

nominoPlural vyonjamchuzi

  • 1

    ndevu zinazoota kati ya mdomo wa chini na kidevu.

    kirambamchuzi

Matamshi

kionjamchuzi

/kijOnʄamtʃuzi/