Ufafanuzi wa kionyeshi katika Kiswahili

kionyeshi

nominoPlural vionyeshi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno linalojulisha ujirani au umbali wa kitu k.v. ‘hapa’ katika sentensi ‘Simama hapa’.

Matamshi

kionyeshi

/kijO3ɛʃi/