Ufafanuzi wa kiopoo katika Kiswahili

kiopoo

nominoPlural viopoo

  • 1

    ufito wa mti uliopindika nchani kama ndoana unaotumika kuangulia vitu.

    upembo, kigoe

Matamshi

kiopoo

/kiOpO:/