Ufafanuzi wa kioski katika Kiswahili

kioski

nominoPlural vioski

  • 1

    kibanda au chumba kidogo ambamo vitu vidogovidogo k.v. soda, sabuni, peremende, samli, n.k. huuzwa.

    ‘Tulienda kwenye kioski kununua soda’

Asili

Kng

Matamshi

kioski

/kijOski/