Ufafanuzi wa kiota katika Kiswahili

kiota

nominoPlural viota

  • 1

    nyumba ya ndege iliyotengenezwa kwa nyasi, udongo, manyoya au njiti.

Matamshi

kiota

/kijOta/