Ufafanuzi wa kipaimara katika Kiswahili

kipaimara

nominoPlural kipaimara

Kidini
  • 1

    Kidini
    mojawapo ya sakramenti za Ukristo inayoaminiwa kuwa humtia nguvu Mkristo na kuimarisha imani yake.

    ‘Helen amepata kipaimara’

Matamshi

kipaimara

/kipaImara/