Ufafanuzi wa kipalizi katika Kiswahili

kipalizi

nomino

  • 1

    kikohozi anachotoa mtu baada ya kupaliwa na chakula, maji au kinywaji chochote.

Matamshi

kipalizi

/kipalizi/