Ufafanuzi wa kipambio katika Kiswahili

kipambio

nominoPlural vipambio

  • 1

    sehemu ya kuchomea nyama katika jiko.

Matamshi

kipambio

/kipambijɔ/