Ufafanuzi wa kipandauso katika Kiswahili

kipandauso

nominoPlural vipandauso

  • 1

    maradhi ya kuumwa sana na paji la uso.

Matamshi

kipandauso

/kipandawusO/