Ufafanuzi msingi wa kipande katika Kiswahili

: kipande1kipande2kipande3kipande4

kipande1

nominoPlural vipande

 • 1

  sehemu ya kitu.

  ‘Kipande cha nyama’
  ‘Kipande cha chaki’
  akisami, kinungu, gawo

Matamshi

kipande

/kipandɛ/

Ufafanuzi msingi wa kipande katika Kiswahili

: kipande1kipande2kipande3kipande4

kipande2

nominoPlural vipande

 • 1

  masafa marefu.

  ‘Kutoka hapa mpaka kwake ni kipande’
  kitambo

Matamshi

kipande

/kipandɛ/

Ufafanuzi msingi wa kipande katika Kiswahili

: kipande1kipande2kipande3kipande4

kipande3

nominoPlural vipande

 • 1

  ukubwa na unene wa umbo la mtu.

  ‘Kipande cha mtu’

Matamshi

kipande

/kipandɛ/

Ufafanuzi msingi wa kipande katika Kiswahili

: kipande1kipande2kipande3kipande4

kipande4

nominoPlural vipande

 • 1

  kadi inayorekodiwa kazi ya kila siku anayofanya kibarua wa mwezi.

Matamshi

kipande

/kipandɛ/