Ufafanuzi wa kipandesauti katika Kiswahili

kipandesauti

nominoPlural vipandesauti

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    aina yoyote ya sauti inayoweza kutolewa na alasauti za matamshi.

  • 2

    Sarufi
    dhana ya jumla inayobeba vitu kama vitamkwa, kiimbo, lafudhi, mkazo, toni, n.k..

Matamshi

kipandesauti

/kipandɛsawuti/