Ufafanuzi msingi wa kipandikizi katika Kiswahili

: kipandikizi1kipandikizi2

kipandikizi1

nominoPlural vipandikizi

  • 1

    mmea uliong’olewa na kwenda kupandikizwa mahali pengine.

Matamshi

kipandikizi

/kipandikizi/

Ufafanuzi msingi wa kipandikizi katika Kiswahili

: kipandikizi1kipandikizi2

kipandikizi2

nominoPlural vipandikizi

  • 1

    mtu aliyewekwa mahali fulani kuchunguza mambo ya kundi fulani kwa manufaa ya kundi lake au kundi jingine.

Matamshi

kipandikizi

/kipandikizi/