Ufafanuzi wa kipando katika Kiswahili

kipando

nominoPlural vi

  • 1

    chombo cha usafiri k.v. basi, lori, meli au ndege.

Matamshi

kipando

/kipandɔ/