Ufafanuzi wa kipanga katika Kiswahili

kipanga

nominoPlural vipanga

  • 1

    ndege mkubwa jamii ya tai anayekula wanyama na ndege wadogo k.v. vifaranga.

Matamshi

kipanga

/kipanga/