Ufafanuzi wa kipashamoto katika Kiswahili

kipashamoto

nomino

  • 1

    kifaa kinachotumika kufanya kitu kilichopoa kupata joto.

    maikrowevu, kikanzamoto

Matamshi

kipashamoto

/kipaŹƒamOtO/