Ufafanuzi wa kipashio katika Kiswahili

kipashio

nominoPlural vipashio

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kipande cha tungo ambacho huweza kujenga au kujengwa na tungo nyingine.

Matamshi

kipashio

/kipaʃijɔ/