Ufafanuzi wa Kipate katika Kiswahili

Kipate

nomino

  • 1

    lahaja ya lugha ya Kiswahili inayozungumzwa Pate katika pwani ya Kenya, Kaskazini ya Mombasa.

Matamshi

Kipate

/kipatÉ›/