Ufafanuzi wa kipato katika Kiswahili

kipato

nomino

  • 1

    mavuno au fedha anazopata mtu zikiwa malipo ya kazi aliyoifanya au faida ya mauzo ya kitu.

Matamshi

kipato

/kipatÉ”/