Ufafanuzi wa kipawa katika Kiswahili

kipawa

nominoPlural vipawa

  • 1

    uwezo mtu aliozaliwa nao ambao humwezesha kufanya jambo fulani vizuri.

    kipaji, atia, talanta

Matamshi

kipawa

/kipawa/