Ufafanuzi wa kipazasauti katika Kiswahili

kipazasauti

nomino

  • 1

    chombo kinachokuza sauti na kuifanya iende na kusikika mbali.

    spika

Matamshi

kipazasauti

/kipazasawuti/