Ufafanuzi wa kipele katika Kiswahili

kipele

nomino

  • 1

    upele mdogo.

    chunusi, kijiwe, kibuja

Matamshi

kipele

/kipɛlɛ/