Ufafanuzi wa kipenga katika Kiswahili

kipenga

nominoPlural vipenga

  • 1

    filimbi inayotumika kuelekeza mwenendo wa mchezo, agh. mpira uwanjani, kutia madoido ngomani au kuendesha shughuli za kiaskari.

    filimbi

Matamshi

kipenga

/kipɛnga/