Ufafanuzi wa kipeperushi katika Kiswahili

kipeperushi

nominoPlural vipeperushi

  • 1

    karatasi iliyoandikwa kwa ufupi maelezo ya kutambulisha shughuli au asasi fulani na shughuli zake.

Matamshi

kipeperushi

/kipɛpɛruʃi/