Ufafanuzi wa kipeto katika Kiswahili

kipeto

nominoPlural vipeto

  • 1

    mzigo mdogo au kifurushi kilichofungwa vizuri ili vitu vilivyomo visisambaratike.

    bumba, kifurushi

  • 2

    kanda au gunia la vitu k.v. nafaka ambalo halikujaa lakini agh. lililo zaidi ya nusu.

    kikanda

Matamshi

kipeto

/kipɛtO/