Ufafanuzi wa kipilipili katika Kiswahili

kipilipili

kivumishi

  • 1

    nywele zilizoviringana kama za baadhi ya Waafrika.

    ‘Nywele za kipilipili’

Matamshi

kipilipili

/kipilipili/