Ufafanuzi wa kipimapresha katika Kiswahili

kipimapresha

nomino

  • 1

    kifaa au mashine ya kupimia shinikizo la damu mwilini.

Matamshi

kipimapresha

/kipimaprɛʃa/