Ufafanuzi wa kipimaupepo katika Kiswahili

kipimaupepo

nomino

  • 1

    chombo maalumu cha kupimia mwendo kasi wa upepo.

    anamometa

Matamshi

kipimaupepo

/kipimaupɛpɔ/