Ufafanuzi wa kipindupindu katika Kiswahili

kipindupindu

nomino

  • 1

    ugonjwa wa kuambukiza wa kuhara na kutapika sana.

    waba

Matamshi

kipindupindu

/kipindupindu/