Ufafanuzi wa kipini katika Kiswahili

kipini

nominoPlural vipini

  • 1

    pambo linalovaliwa na wanawake, agh. kwenye upande wa kushoto wa pua.

Matamshi

kipini

/kipini/