Ufafanuzi wa kipodozi katika Kiswahili

kipodozi

nominoPlural vipodozi

  • 1

    kitu cha kujipodolea k.v. uturi, poda na wanja.

Matamshi

kipodozi

/kipOdOzi/