Ufafanuzi msingi wa kipopo katika Kiswahili

: kipopo1kipopo2

kipopo1

nominoPlural vipopo

  • 1

    mahali katika ubongo panapohusika na kufikiri.

Matamshi

kipopo

/kipOpO/

Ufafanuzi msingi wa kipopo katika Kiswahili

: kipopo1kipopo2

kipopo2

kielezi

  • 1

    kitutu

Matamshi

kipopo

/kipOpO/